LULU PIGO JINGINE PIGO GANI MKASA WOTE HAPA>>>>>

staa wa bongo muvi elizabeth
amefiwa na mpenzi wake ambaye
inasemekana alikuwa bilionea alikuwa anaishi mwanza anajulikana kwa jina la seky alijigonga kwenye stuli wakati anapelekwa hospital ndipo yalimkuta mauti yake na hichi ndio chanzo cha lulu kuifunga akaunti yake ya instagram
michael LULU apata pigo lingine wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 20.

0 comments:

Post a Comment