>>> Unaweza kusoma pia habari zifuatazo hapo Chini >>>:
IRENE UWOYA AUMIZWA NA MANENO YA WEMA AMPONGEZA WEMA KWA MOYO WA KISHUJAA
Minashindwa kuwaelew watu huwa wanataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mtu wakati jicho lake lina lipande cha mti nimeumia sana kutokana na maneno ya wema mtoto anapanga mungu na sio binadamu, embu muwacheni mtoto wa watu awe na amani sasa au mnadhani kuwa yeye ana
chumaa? naye anamoyo alafu kuna watu wanapenda kudandia m…Read More
KAJALA: Nina kibarua kumchunga Paula
Staa mrembo kajala masanja "kay" amefunguka kuwa anakibarua kizito kumlea mwanawe paula mwenye umri wa miaka 14 kuhusu usalama wake hasa katika suala zima la wanaume
akiongea na gazeti la ijumaa hivi karibuni kajala alisema
kwa umri huo, kajala aliyezaa na projuza wa bongorecords p funky anahitaji usimamizi …Read More
Diamond Platnumz: Mbunge halima mdee ni mzigo jimbo la kawe
msanii wa kizazi kipya aliyejizolea umaarufu hapa nchini diamond amevunja ukimya kuhusu ubovu wa barabara iyendayo madale ilyopo katika jimbo la kawe chini ya
halima mdee.
msanii huyo alieleza kero zake kwa mbunge huyo aliyepita kwa tiketi ya CHADEMA kwa kuwa halima mdee aliwaahidi wananchi wa jimbo hilo ku…Read More
0 comments:
Post a Comment