Diamond Platnumz: Mbunge halima mdee ni mzigo jimbo la kawe

msanii wa kizazi kipya aliyejizolea umaarufu hapa nchini diamond amevunja ukimya kuhusu ubovu wa barabara iyendayo madale  ilyopo katika jimbo la kawe chini ya
halima mdee.


 msanii huyo alieleza kero zake kwa mbunge huyo aliyepita kwa tiketi ya CHADEMA kwa kuwa halima mdee aliwaahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa wakati wa ubunge wake. ataitengeneza barabara hiyo kwa kiwango cha lami lakini hadi leo ni tope tupu.


Diamond alieleza kero zake  kupitia kituocha CLOUS TV
pale alipoulizwa kuhusu mjengo wake mpya ulioko katika jimbo la kawe ndipo alipotoa masikitiko yake


>>> Unaweza kusoma pia habari zifuatazo hapo Chini >>>:

0 comments:

Post a Comment