IRENE UWOYA AUMIZWA NA MANENO YA WEMA AMPONGEZA WEMA KWA MOYO WA KISHUJAA

Minashindwa kuwaelew watu huwa wanataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mtu wakati jicho lake lina lipande cha mti nimeumia sana kutokana na maneno ya wema mtoto anapanga mungu na sio binadamu, embu muwacheni mtoto wa watu awe na amani sasa au mnadhani kuwa yeye ana
chumaa? naye anamoyo alafu kuna watu wanapenda kudandia mambo.  

mmetandia weee mmemtukana mtoto wa watu mi naomba niwape namba ya mungu mmuulize sipendagi kufuatilia mabo ya watu ila hii imezidi sio vizuri jiwekeni nafasi yake kama hamjajinyonga Wema kiukweli una moyo wa kishujaa napenda wanawake na kama wewe mungu   ndio ana majibu yote achana nao hao wenye kudandia yasio wahusu wanakuwa kama pweza wanamiguu mingi lakini hawawezi kusimama

aliandiaka irene kwenye mtandao hii ni baadaya wema kufunguka kuwa anatamani kuwa na mtoto lakini hana uwezo

>>> Unaweza kusoma pia habari zifuatazo hapo Chini >>>:

  • MASTAA WA BONGO MOVIE NJAA TUPU Uchunguzi umebaini kuwa mastaa wengi wa bongo wanahali ngumu kutokana na kuibiwa kwa kazi zao na kuvunjwa na mikataba na kampuni kubwa za usamba zaji zinachangia … Read More
  • SNURA AINGIZWA MJINI Staa aliyeanza na bongo muvi na kukimbilia katika muziki snura mushi mama wa majanga simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa haziingii kwake zinaenda kwa mtu mwingine ambaye hamjui wala hana mahusiano naye na hajui alitumia njia gani kiteka hata sielewi alitumia njia gani kuit… Read More
  • ZITTO KABWE AFUNIKA MOROGORO WANANCHI WAKUSANYIKA KWA MAMIA KUKISHANGILIA CHAMA CHA ACT WAZALENDO mamia ya wananchi mkoani morogoro wakiwa wamekysanyika katika mkotano wa chama cha ACT WAZALENDO Viongozi wa chama cha AVT WAZALENDO wakicheza wimbo wa chama hicho kabla ya kiongozi zito hajapanda jukwaani wananchi wa morogoro wakigombania kununua kadi za chama hicho … Read More

0 comments:

Post a Comment