KAJALA: Nina kibarua kumchunga Paula

Staa mrembo kajala masanja "kay" amefunguka kuwa anakibarua kizito kumlea mwanawe paula mwenye umri wa miaka 14 kuhusu usalama wake hasa katika suala zima la wanaume 

akiongea na gazeti la ijumaa hivi karibuni kajala alisema
kwa umri huo, kajala aliyezaa na projuza wa bongorecords  p funky anahitaji usimamizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jambo ili kukwepa mijitu mikware isije kumrubuni

dunia ya sasa watu sio wema ila naomba mungu awasimamie alisema kajala


0 comments:

Post a Comment