SNURA AINGIZWA MJINI

Staa aliyeanza na bongo muvi na kukimbilia katika muziki snura mushi mama wa majanga simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa haziingii kwake zinaenda kwa mtu mwingine ambaye hamjui wala hana mahusiano naye na
hajui alitumia njia gani kiteka

hata sielewi alitumia njia gani kuiteka simu yangu na mbaya zaidi anapobahatisha kuipata namba ya rafiki yangu huwa anawaomba pesa mi nahisi ameamua kutapeli ili kujipatia pesa kwa jina la snura alisema snura

katika kuliepuka janga hilo mama wa majanga ameamua kuachana na namba hiyo na sasa anapatikana kwa namba mpya ambayo anawasiliana na jamaa zake na wateja wake katika show za muziki na wapenzi wake walioombwa pesa na mtu hyo ni muongo na anawapa pole

0 comments:

Post a Comment