TANZANIA KUSHIRIKI MBIO ZA KIGALI

Tanzania ni nchi inayotegemewa kushiriki mbio za kigali marthon zitakazofanyika may 23-24 huku nchi nyingine zikialikwa 
michuano hiyo itakuwa ya wazi ya kimataifa kama vile kilimanjaro marathon inayofanyikia tanzania kila mwaka huku wakimbiaji wa
nchi mbalimbali wakialikwa kushiriki 
kwa mujibu wa waandaaji wa chama cha riadha nchin rwanda (RFA) mbio hizo za kigali zitakuwa na msisitizo wa kudumisha amani kupitia michezo. wakimbiaji watakimbia mbio ndefu (kilometa 42) na half marathon kwa wanawake na wanaume mbio hizo zitaanza katika uwanja wa amahoro.

wanariadha wengi wapo katika matayarisho ya mashindano mbalimbali ikiwemo olimpiki yatakayo fanyika Rio de jeneiro, Brazil mwaka 2016

>>> Unaweza kusoma pia habari zifuatazo hapo Chini >>>:

  • LEWIS ATETEA TAJI LAKE VEMA Dereva nambari moja duniani LEWIS HIMILTON wa timu ya mercedesameibuka bingwa kwa mara nyingine tena katika mashindano ya langalanga ya china Grand prix lewis hemilton aliendesha gari kwa kasi na kuibuka mshindi huku dereva  mwenzake wa timu hiyo Nico Rosberg akimaliza katika nafasi ya pili Hamilton akiwa na… Read More
  • BARCELONA YAICHAPA TAIFA STAR UWANJA WA TAIFA Read More
  • TANZANIA KUSHIRIKI MBIO ZA KIGALI Tanzania ni nchi inayotegemewa kushiriki mbio za kigali marthon zitakazofanyika may 23-24 huku nchi nyingine zikialikwa  michuano hiyo itakuwa ya wazi ya kimataifa kama vile kilimanjaro marathon inayofanyikia tanzania kila mwaka huku wakimbiaji wa nchi mbalimbali wakialikwa kushiriki  kwa mujibu wa waandaaji… Read More

0 comments:

Post a Comment