TATIZO LA SAIKOLOGIA (WASI WASI NA UWOGA)

Hii inaweza kuwa inasababishwa na kumhofia mwanamke mwenyewe, pengine hujamzoea kutokana na kuwa ni mke au mpenzi mpya kwako au mshuko mdogo wa ghafla uliopelekea uume kulala ghafla hivyo kurudia tena humpelekea mwanaume kuwa na wasiwasi katika kujamiiana tena mawazo yafuatayo yanaweza kumjaa mwanaume  mawazo ambayo yanaweza kumvunja nguvu mwanaume 

sijuin mke wangu ananifikiriaje?  sijui atatafuta kidume mwingine? natamani tendo la ndoa lisingekuwepo kabisa 
tatizo hili linatibiwa kisaikologia jifunze
kuwasilisha mawazo yako katika tendo husika na ujipe moyo mwenyewe  kuwa ikiwa zamani nilikuwa naweza iweje sasa nishindwe mimi ndio bingwa wa mchezo huu hakuna zaidi yangu mbona mara nyingine asubuhi huwa uume wangu unasimama kwa uchu wa ajabu

  SHIRIKI MATUMIZI YA UBONGO
Jiepushe na kutazama filamu za ngono almaarufu kama X na kutazama wanawake wliokuwa uchi au nusu uchi kwani kwa  mtazamo wa mara ya mwanzo ukimuona mwanamke wa namna hiyo,  ubongo unapokea habari kwa njia ya macho au sauti  unatoa amri kwende kwenye mishipa ya damu ya uume itwaayo "Artery"  kuwa mipana zaidi  ya kawaida yake mishipa ya kutoa damu katika uume hufungwa na hivyo uume husimama  kiasi cha dakika 30 mpaka 45
 mtu anapotazama sehemu nyeti za mwanamke   ubongo hupeleka habari fasta kwenye  mishipa ya nguvu za kiume  na hapo husimama mara moja  mfano mbele yako kakaa mwana mke amevaa min sketi jicho lako  likapenye moja kwa moja katikati ya mapaja yake  ukaona japo chupi yake.

taarifa husafirishwa haraka kutoka katika macho yako mpaka katika ubongo na ubongo bila kusita unatoa amri kwa mishia ya kusafirishia damu katika uume   nayo huimarisha mishipa ya kutoa damu katika uume  kufungwa mara tu uume unaanza kusimama   ikiwa hili limewahi kukutokea baada ya kuona au kusikia bado ni mzima  ondoa mawazo ya kutoweza weka mawazo ya ubingwa katika jambo hili

0 comments:

Post a Comment