TIBA YA TENDO LA NDOA HII HAPA WAKUBWA TU

JITIBU BILA DAWA
kumbuka kufanya mambo yafuatayo baada na kabla ya kumaliza kula tunda kwa mara ya kwanza na kutaka kurudia round ya pili
kabla ya kuanza kusex
kabla ya kuanza kufanya huu mchezo hakikisha umeenda haja kubwa na ndogo ili isikusumbue wakati upo safarini na kukupatia stamina ili kuweza kulimudu tendo hili hii inashauriwa  kwa siku upate choo mara tatu. pia usiwe na njaa utachemka
Baada ya
tendo
Wenye tatizo hili la round moko baada ya tendo katika round ya mwanzo na kutamani kuendelea na round ya pili unashauriwa uoge uoshe uume wako ili kujenga nguvu zako upya hapa ndio tunaona umaskini ni mbaya sana uzuri wa hapa uwe na self sio umepanga chuma kimoja choo cha public lol utahesabiwa round namajirani
wanasayansi wa mapenzi wamegundua kuwa huo mchezo uliochezwa kwa dakika kadhaa mpaka kufika kileleni (kupiz) umetumia nguvu nyingi sawa namtu aliyekimbia mita mia mbili kwa hivyo ukijimwagia maji mwilini unajenga nguvu upya
ukitaka kurudia round ya pili mara baada ya kumaliza round ya mwanzo pumua kwa kujinafasi  kuwa free katika upumuaji wako yaani vuta hewa kwa kutumia pua na utoe kwa kutumia mdomo huku umemkumbatia mkeo kwa kumpapasa mgongoni makalioni mapajani rudi hadi ukeni.
unaweza kufanya hivi huku mnanyonyana ulimi (kula denda) utashangaa ghafla uume umesimama na kupata fursa ya kuanza tena  kadhalika ukifanya mambo yafuatayo unaweza kujitibu mwenyewe
ukarudi kuwa fit katika jambo hili

0 comments:

Post a Comment