VAI AFURAHIA KUACHIKA

Staa wa bongo muvi isabela francis a.k.a Vai amefurahia kuachana na mpenzi wake boniface matiku a.k.a Bonny anasema akiwa pamoja kwa mama yake anauhuru hata
wakunywa pombe asubuhi

nyumbani raha sana niko na uhuru kuliko nilipokuwa kwa bonny sina mpango wa kurudiana nae japo kuwa ananiomba msamaha nirudiane nae ila siwezi kwa sababu nyumbani nina uhuru sana alisema vai

0 comments:

Post a Comment