Staa wakike wa  bongo muvi wema sepetu a.k.a Madame amefunguka na kusema nui ushamba kumtungia nyimbo ya majungu msichana uliyeachana nae wasanii wengi wa muziki wa
 bongo fleva wana tabia ya kuwatungia wapenzi wao wa zamani nyimbo zenye maneno ya kuudhi 
ni ushamba haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote maenzi yenu alafu unakuja kumtungia nyimbo za kumponda wakati mmeacha hakuna lakuwaita zaidi ya ushamba alisema madam
 






 
 
0 comments:
Post a Comment